\p \v=26 \v~=Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji,\f + \fr 1:26 \ft Hapa tafsiri zingine zinasema ndani ya maji.\f* lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua. \¬v