\v=4 \v~=Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu. \¬v