\p \v=47 \v~=Yesu alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake akasema, \wj “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli; hana hila ndani yake.”\wj* \¬v \¬p