\p \v=50 \v~=Yesu akamwambia, \wj “Unaamini kwa kuwa nilikuambia nilikuona ulipokuwa bado uko chini ya mtini? Basi utaona mambo makuu zaidi kuliko hilo.”\wj* \¬v