\v=51 \v~=Ndipo akawaambia, \wj “Amin, amin nawaambia, ninyi mtaona mbingu ikifunguka na malaika wa Mungu wakipanda na kushuka juu ya Mwana wa Adamu.”\wj* \¬v \¬p \¬c