\p \v=21 \v~=Yesu akawaambia tena, \wj “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.”\wj* \¬v