\v=27 \v~=Kisha akamwambia Tomaso, \wj “Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu.”\wj* \¬v \¬p