\v=31 \v~=Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo,\f + \fr 20:31 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake. \¬v \¬p \¬c