\v=12 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Njooni mpate kifungua kinywa.”\wj* Hakuna hata mmoja wa wanafunzi aliyethubutu kumuuliza, “Wewe ni nani?” Kwa sababu walijua ya kuwa ni Bwana. \¬v