\v=23 \v~=Kwa sababu ya maneno haya ya Yesu, uvumi ukaenea miongoni mwa ndugu kwamba huyu mwanafunzi hangekufa. Lakini Yesu hakusema kuwa hangekufa. Yeye alisema tu kwamba, \wj “Ikiwa nataka aishi mpaka nitakaporudi, inakuhusu nini?”\wj* \¬v \¬p