\p \v=6 \v~=Akawaambia, \wj “Shusheni nyavu upande wa kuume wa mashua yenu nanyi mtapata samaki.”\wj* Wakashusha nyavu na tazama wakapata samaki wengi mno hata wakashindwa kuvutia zile nyavu zilizojaa samaki ndani ya mashua. \¬v \¬p