\v=8 \v~=Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakikokota ule wavu uliyojaa samaki, maana hawakuwa mbali na nchi kavu, ilikuwa yapata dhiraa 200\f + \fr 21:8 \ft Dhiraa 200 ni kama mita 90.\f* \¬v