\p \v=5 \v~=Yesu akamwambia, \wj “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu yeyote anayeweza kuingia Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa kwa maji na kwa Roho.\wj* \¬v