\p \v=10 \v~=Yesu akajibu akamwambia, \wj “Kama ungelijua karama ya Mungu, naye ni nani anayekuambia, Nipe maji ninywe, wewe ungelimwomba yeye, naye angelikupa maji yaliyo hai.”\wj* \¬v \¬p