\p \v=21 \v~=Yesu akamjibu, \wj “Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.\wj* \¬v