\v=29 \v~=“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”\f + \fr 4:29 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* \¬v