\v=34 \v~=Lakini Yesu akawajibu, \wj “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.\wj* \¬v