\p \v=53 \v~=Ndipo baba wa huyo mtoto akakumbuka kuwa huo ndio wakati ambapo Yesu alikuwa amemwambia, \wj “Mwanao yu hai.”\wj* Kwa hiyo yeye pamoja na wote wa nyumbani mwake wakamwamini Yesu. \¬v \¬p