\p \v=14 \v~=Baadaye Yesu akamkuta yule mtu aliyemponya ndani ya Hekalu na kumwambia, \wj “Tazama umeponywa, usitende dhambi tena. La sivyo, lisije likakupata jambo baya zaidi.”\wj* \¬v