\p \v=10 \v~=Yesu akasema, \wj “Waketisheni watu chini.”\wj* Palikuwa na majani mengi katika eneo lile, nao watu wakaketi. Palikuwa na wanaume wapatao 5,000. \¬v