\v=19 \v~=Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne,\f + \fr 6:19 \ft Maili tatu au nne ni kama kilomita 5 au 6.\f* walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. \¬v