\p \v=26 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Amin, amin nawaambia, ninyi hamnitafuti kwa kuwa mliona ishara na miujiza, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.\wj* \¬v