\p \v=32 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Amin, amin nawaambia, si Mose aliyewapa mikate kutoka mbinguni, bali Baba yangu ndiye anawapa mkate wa kweli kutoka mbinguni.\wj* \¬v