\p \v=53 \v~=Hivyo Yesu akawaambia, \wj “Amin, amin nawaambia, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.\wj* \¬v