\v=56 \v~=\wj Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.\wj* \¬v