\v=65 \v~=Akaendelea kusema, \wj “Hii ndiyo sababu niliwaambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.”\wj* \¬v \¬p