\p \v=7 \v~=Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili,\f + \fr 6:7 \ft Dinari 200 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 200; mshahara wa kibarua ulikuwa dinari moja kwa siku.\f* hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.” \¬v \¬p