\p \v=70 \v~=Ndipo Yesu akajibu, \wj “Je, sikuwachagua ninyi kumi na wawili? Lakini mmoja wenu ni ibilisi.”\wj* \¬v