\p \v=28 \v~=Ndipo Yesu, akaendelea kufundisha Hekaluni, akisema, \wj “Ninyi mnanifahamu na kujua nitokako. Mimi sikuja kwa ajili yangu mwenyewe, bali yeye aliyenituma ni wa kweli na ninyi hammjui.\wj* \¬v