\p \v=54 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Kama nikijitukuza utukufu wangu hauna maana. Baba yangu, huyo ambaye ninyi mnadai kuwa ni Mungu wenu, ndiye anitukuzaye mimi.\wj* \¬v