\v=59 \v~=Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Yesu akajificha, naye akatoka Hekaluni. \¬v \¬p \¬c