\v=7 \v~=Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, \wj “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”\wj* \¬v