\p \v=3 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Huyu mtu wala wazazi wake hawakutenda dhambi. Alizaliwa kipofu ili kazi za Mungu zidhihirishwe katika maisha yake.\wj* \¬v