\v=7 \v~=Kisha akamwambia, \wj “Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.”\wj* (Siloamu maana yake ni aliyetumwa.) Ndipo yule kipofu akaenda, akanawa, naye akarudi akiwa anaona. \¬v \¬p