\p \v=29 \v~=Kama mkijua kuwa yeye ni mwenye haki, mwajua kwamba kila atendaye haki amezaliwa naye. \¬v \¬p \¬c