\v=14 \v~=Ndipo wakamlilia \nd Bwana\nd*, “Ee \nd Bwana\nd*, tafadhali usituue kwa kuondoa uhai wa mtu huyu. Usituhesabie hatia kwa kuutoa uhai wa mtu asiyekuwa na hatia, kwa kuwa wewe, Ee \nd Bwana\nd*, umefanya kama ilivyokupendeza.” \¬v