\p \v=17 \v~=Lakini \nd Bwana\nd* akamwandaa nyangumi\f + \fr 1:17 \ft Yaani samaki mkubwa sana.\f* kummeza Yona, naye Yona alikuwa ndani ya tumbo la nyangumi kwa siku tatu, usiku na mchana. \¬v \¬p \¬c