\p \v=3 \v~=Lakini Yona alimkimbia \nd Bwana\nd* na kuelekea Tarshishi. Alishuka mpaka Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda melini na kuelekea Tarshishi ili kumkimbia \nd Bwana\nd*. \¬v