\p \v=3 \v~=Yona akalitii neno la \nd Bwana\nd* naye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka. \¬v