\p \v=7 \v~=Basi Shetani akatoka mbele za \nd Bwana\nd* naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa. \¬v