\p \v=10 \v~=Baada ya Ayubu kuwaombea rafiki zake, \nd Bwana\nd* akamwondoa kwenye uteka, akamfanikisha tena naye akampa mara mbili ya vile alivyokuwa navyo hapo mwanzoni. \¬v