\v=11 \v~=Ndipo ndugu zake wote waume kwa wake na kila mtu aliyemfahamu mwanzoni, wakaja wakala pamoja naye katika nyumba yake. Wakamfariji na kumtuliza moyo juu ya taabu yote \nd Bwana\nd* aliyoileta juu yake, nao kila mmoja akampa kipande cha fedha na pete ya dhahabu. \¬v \¬p