\v=9 \v~=Kwa hiyo Elifazi Mtemani, Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi wakafanya kama \nd Bwana\nd* alivyowaambia; naye \nd Bwana\nd* akayakubali maombi ya Ayubu. \¬v \¬p