\p \v=25 \v~=Yoshua akawaambia, “Msiogope, wala msivunjike moyo. Kuweni hodari na wenye ushujaa. Hili ndilo \nd Bwana\nd* atakalowatendea adui zenu wote mnaokwenda kupigana nao.” \¬v