\v=42 \v~=Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli. \¬v \¬p