\p \v=9 \v~=Baada ya Yoshua kutembea usiku kucha kutoka Gilgali, akawashambulia ghafula. \¬v