\p \v=12 \v~=Yoshua akaiteka hii miji yote ya kifalme pamoja na wafalme wake na kuwapiga kwa upanga. Akawaangamiza kabisa wote, jinsi Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd* alivyowaagiza. \¬v