\v=20 \v~=Kwa maana \nd Bwana\nd* mwenyewe ndiye aliifanya mioyo yao iwe migumu, ili kupigana vita dhidi ya Israeli ili apate kuwafutilia mbali pasipo huruma, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p