\v=23 \v~=Hivyo Yoshua akaiteka nchi hiyo yote kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa amemwagiza Mose, naye Yoshua akawapa Israeli kuwa urithi wao, kulingana na walivyogawanyika katika kabila zao. \¬p \p \p~<