\v=9 \v~=Yoshua akawatendea kama \nd Bwana\nd* alivyoamuru. Akakata mishipa ya nyuma ya miguu ya farasi wao na kuchoma moto magari yao ya vita. \¬v \¬p